Filinda Kamau ni Mkenya kutoka Kaunti ya Nakuru na amejikuta kuwa mwanamke maarufu mtandaoni kwa kushiriki video za TikTok akionyesha hasa kazi zake kutoka katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti ...
Watu hufanya kazi nyingi za pembeni na kwa sababu nyingi, baadhi kujiongezea pato na wengine kutokana na kuipenda kazi fulani au kutaka kutoa mchango wa jamii. Lakini tafakari hili, kwenye runinga ...
Unaweza kujivunia kazi yako kwa kiasi gani? Hebu mtazame Dorice mwanamke anaefanyakazi katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya rufaa ya Temeke jijini Dar es salaam, anasema fursa zipo ...